Romans 8:24-25

24 aKwa kuwa tuliokolewa kwa tumaini hili. Lakini kama kinachotumainiwa kikionekana hakiwi tumaini tena. Je, kuna mtu anayetumaini kupata kitu alicho nacho tayari? 25 bLakini tunapotumaini kupata kitu ambacho hatuna, basi twakingojea kwa saburi.

Copyright information for SwhNEN